Base (Swahili) | English |
---|---|
Ipo haja ya kujikita zaidi katika alimu ya stadi za maisha kama vile elimu ya ukimwi, mazingira, ujasiriamali, uvuvi nakadhalika. Kufanya hivyo ni kuwajengea wananchi njia sahihi ya kujikwamua kutokana na umaskini unaoendelea kulitesa taifa letu la Tanzania |
We need to focus more on life skills teacher training as well as AIDS education, environment, entrepreneurship, fishing et cetera. Doing so is building the country the right way to get rid of poverty by developing our nation persecutes Tanzania |
Translation History
|