About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/Tawa/post/98705
: English
Base
English
Serikali ijiahidi kuliangalia suala la maji kama Dawasco wameshindwa,hivyo kuwepo njia mbadala ili kunusuru maisha ya watu hawa dhidi ya magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza kutokana na hali hii.
Government ijiahidi addressing the issue of water as DAWASCO have failed, so there alternatives to save the lives of these people against epidemic diseases that can arise from this situation.
Edit
Suala la miundo mbinu eneo hili linatakiwa kupewa kipau mele ili kuepukana na mafuriko vile vile kuwatengea maeneo mbadala ya kuishi kama ilivyo mabwepande kwa wahanga wengine wa wilaya ya kinondoni na Ilala ituimike pia na kwa wahanga hawa wa Temeke
The issue of infrastructure in this area should be bar Mele to avoid flooding as well as alternative places to live kuwatengea as mabwepande for other victims of the districts of Kinondoni and Ilala ituimike also for these victims of Temeke
Edit
Suala la maji na vyoo katika eneo hili linaonekana ni tatizo na hatarishi kwa maisha ya wakazi hawa ,hivyo msaada wa haraka unahitajika.
The issue of water and sanitation in this area appears problematic and risky to the lives of these residents, so quick help is needed.
Edit
5}Vyanzo vya ubora wa maji kwenu yamepata athari gani kutokana na mafuriko? – Athari ni kubwa zinazotokana na mafuriko kwani maji tunayotumia ni ya visima hivyo kutokana na kubomoka kwa vyoo maji tunayotumai siyo salama kwa matumizi ya binadamu .vilevle tuko mabondeni hivyo maji machafu yanayotoka meaneo yaliyo kwenye miinuko na majalala ya kiholela uchanganyikana na maji tunayotumia,Hivyo hatuna jinsi ukizingatia maji ni uhai kwa binadamu tunalazimika kuyatumia wakati...
5} The sources of water quality of what you have found traces of the floods? – The impact is huge disruption and flooding as the water we use is of wells due to crumble to the toilet water we yotumai not safe for human consumption. Vilevle are valleys so the water drains coming meaneo floating on hills and dormant for arbitrarily intermixed with the water we use, so we have no way based on water is a human life we have to use when we know the impact on us, there is also...
Edit