Envaya

/MOPE/post/102000: English: CM00012776F222D000102689:content

Base (Swahili) English
wananchi wameambiwa waende mabwepande hawataki, mafuriko mengine yakija wasije wakaleta lawama za bure. uharibifu wote huu bado watu wanataka kukaa hapa wamezoea matatizo hawa watu au vipi mie siwaelewi.
MOPE rudini mkawaombe waende mabwepande bado mirango iko wazi ikishafungwa watafanyaje?. nawashukuru sana MOPE kwa kutuletea ujumbe huu
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register