Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

ENVAYA_SURVEY_2222222.pdf

February 7, 2012
« Previous

Comments (3)

FAAYA (DAR ) said:
he kaka haya ni matatizo makubwa sana, hawa wote wanahitaji msaada kweli serikari in kazi

ongera MOPE kwa kazi nzuri sikujua kama ali ni mbaya hivi
February 7, 2012
ROSE (TANDALE -DAR ) said:
RIPORT KAMA HIZI NDO ZINATAKIWA MAANA ZINATOA UARISIA WA MAMBO YALIVYO. TUWASAIDIE TU UJAFA UJAUMBIKA KAKA
February 7, 2012
Hamisi (manzese) said:
wananchi wameambiwa waende mabwepande hawataki, mafuriko mengine yakija wasije wakaleta lawama za bure. uharibifu wote huu bado watu wanataka kukaa hapa wamezoea matatizo hawa watu au vipi mie siwaelewi.
MOPE rudini mkawaombe waende mabwepande bado mirango iko wazi ikishafungwa watafanyaje?. nawashukuru sana MOPE kwa kutuletea ujumbe huu
February 10, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.