MED ni kifupisho cha Maneno Marafiki wa Elimu Dodoma. MED ilianzishwa mwaka 2009 kama kikundi kidogo cha wanachama wa programu ya Harakati za Marafiki wa Elimu inayoendeshwa na shirika la HakiElimu. – Kufuatia maendeleo mazuri ya shughuli za Marafiki wa Elimu chini ya uwezeshwaji wa HakiElimu; Marafiki wa Elimu Dodoma waliamua kwa kauli moja kuanzisha asasi ya wanaharakati ambayo itaendeleza shughuli za uana harakati na wakati huo... | (Not translated) | Hindura |