Fungua

/DAKEDEO/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Katika Mijadala yakinifu(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Ushirikishaji wa wadau katika mafunzo(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mradi wa Upashanaji Habari na Jamii Juu ya Majenzi ya UMMA - Community Infrastrucure Information Sharing mradi uliofadhiliwa na CoST - Taznaznia (Infrastructure Information Sharing- kilosa Disrict.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – tunafanya kwa pamoja(Bila tafsiri)Hariri
(image) – umakini katika kusikiliza(Bila tafsiri)Hariri
(image) – MIONGONI MWA TARATIBU ZA MSINGI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA SERIKALI NI PAMOJA NA UWEKAJI WA KIBAO CHA MAELEZO (SIGN BOARD)ILI KUWA NA TAARIFA ZILIZO WAZI HII NI KWA MUJIBU WA TARATIBU ZA MAJENZI ZINAVZOTAKIWA KUTEKELEZWA NA WAKANDARASI WOTE(Bila tafsiri)Hariri
DAKEDEO NA UTEKELEZAJI WA MRADI MAALUM WA ELIMU KWA JAMII JUU YA UJENZI WA BARABARA ZINAZOSIMAMIWA NA WAKALA WA BARABARA ZA MIJINI NA VIJIJINI (TARURA) WILAYA YA KILOSA. – MRADI HUO UNATEKELEZWA KWA USHIRIKIANO WA – CoST - Tanzania na CoST International. – Ifuatayo ni Taarifa ya Utekelezaji wa mradi Awamu ya pili Wilaya Kilosa.(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
DAKEDEO KATIKA MAFUNZO YA UFURUTU ADA- MOROGORO. – DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION Inashiriki katika mafunzo endelevu ya Mradi wa Kuzuia Ufurutu Ada (Violent Exitremism) ambayo yanaendeshwa kwa pamoja na shirika la GREEN LIGHT PROJECT. – Katika mafunzo hayo ambayo yalianza mwezi June 2017 mjini Tanga na yanayotarajiwa kukamilika Tarehe 27/03/2018 DAKEDEO imewakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa asasi Mr Msenga Amir A. – Lengo kuu la mafunzo haya...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – MKURUGENZI MKUU MTENDAJI WA DAKEDEO MR MSENGA KATIKA MAZUNGUMZO NA MSIMAMIZI MSHAURI WA UJENZI WA DARAJA (KARAVATI) KATIKA KIJIJI CHA DUMBALUME WILAYA YA KILOSA KATIKA BARABARA YA BEREGA - DUMBALUME.(Bila tafsiri)Hariri