Fungua

/chawaumavita/news: Kiswahili: WIYetbDCnLD0KJQ61JAzig5g:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM)JUNI 21,2014.

Mwenyekiti anawataarifu wanachama,wajumbe,wadau na jamii yote kuwa juni 21 2014,chawaumavita wanatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka,katika viwanja vya mazoezi tiba manzese ukombozi,saa 3 asubuhi.

agenda za mkutano mkuu ni

1.marekebisho ya katiba,

2.ripoti ya kamati tendaji 2013/2014,

3.mapato na matumizi.

wajumbe wote wana karibishwa katika kushiriki zoezi hili muhimu la kikatiba

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe