Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM)JUNI 21,2014. Mwenyekiti anawataarifu wanachama,wajumbe,wadau na jamii yote kuwa juni 21 2014,chawaumavita wanatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka,katika viwanja vya mazoezi tiba manzese ukombozi,saa 3 asubuhi. agenda za mkutano mkuu ni 1.marekebisho ya katiba, 2.ripoti ya kamati tendaji 2013/2014, 3.mapato na matumizi. wajumbe wote wana karibishwa katika kushiriki zoezi hili muhimu la kikatiba |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe