Fungua

/HCT/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Hisia's Artists(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Maonesho ya uelimishaji vIJIJINI(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
Hisia tumehudhuria workshop ya wadau wa VVU/UKIMWI iliyofanyika manispaa ya Iringa. Pamoja na mambo mengine tumeweza kubadilishana uzoefu na asasi nyingine. Ni fursa nzuri za kujifunza ambazo tunazihitaji sana!(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mashirikiano na mdau wa peace Corps(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
TUNAOMBA KUPATA MTAALAMU WA KUJITOLEA AWEZE KUTUANDIKIA ANDIKO LA MRADI KUHUSU UHAMASISHAJI WA TOHARA KWA WANAUME. ANDIKO HILO LINATAKIWA KUWASILISHWA KWA MFADHILI KABLA YA TAREHE 31 AUGUST 2012. TAFADHALI SANA ALIYE TAYARI KUTUSAIDIA KWA HILI AWASILIANE NASI KUPITIA KWA: – Mkurugenzi Mtendaji – Hisia Cultural Troupe – Emai: hisiaone @yahoo.com – Cell: 0715 439740(Bila tafsiri)Hariri
KONGAMANO LA SANAA – WASANII wote mnaalikwa katika kongamano la sanaa za maonesho linalotarajiwa kufanyika Juni 15, 2013 hapa mkoani Iringa kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni. – Kongamano litakuwa la siku moja na washiriki wanaomba kujigharamia kwa 100%. Pamoja na mada, kongamano litapambwa na burudani za sanaa za maonesho. – Watakaopenda kujitolea kuendesha mada na wale watakaopenda kuonesha sanaa zao...(Bila tafsiri)Hariri
HISIA CULTURAL TROUPE-HCT IMEFUNGUA OFISI MPYA YA KUDUMU BAADA YA KUWA KATIKA HEKA HEKA ZA KUHAMA MARA KWA MARA – TUPO MAKUTANO YA MTAA WA JANGWANI NA MTWA, IRINGA MJINI – KARIBUNI SANA(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri