Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
Nimepitia maandiko yote, kwa ujumla nimeona kuwa ipo haja ya kuelimisha vijana namna ya kujiunga kwa ajili ya uzalishaji. Kwa walioko Mwanza nawakaribisha kituoni kwetu ili wakajifunze bure. Kituo chetu ni cha taasisi isiyokuwa ya kiserikali inayofahamika kama Mwasenda Development Intervention (MDI). Tupo Nyasaka Centre - karibu na Buzuruga stand. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe