Log in

/bakwataser/post/9: English: CMiaTL0U35wEXh5tw1GXZSUJ:content

« Previous   ·   Next »
Base ((unknown language)) English
Asallam Alleykum. Inapendeza sana kuona mawazo ya kuujenga mfuko wa mapato kwa waislam wa mugumu,ilihali faida yake sio kwa waislam wa wilaya ya serengeti tu.ila tunaomba moyo wa kuitumikia dini kwa mapato hayo.na isiwe ni mfuko wa kukusanya mapato kwa ajili ya watu wachache,na sio waislam. Malumbano yawekwe pembeni,waislam hueleweshanapale mtu anapokosea.na sio kugawanyika nakulumbana
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register