Injira

/bakwataser/post/9: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
na tatu maoni yako tutayafanyia kazi, japo yapo yaliyo ktk utekelezaji nayo mtafahamishwa yakiwa vizuri. – Tunaomba zaidi ushauri wenu kwa ajili ya ALLAH.(Not translated)Hindura
Assalam alaykum, – Jazaq llahu kheir, Inshallah Allah abariki na kujaalia kila mipango tuliojiwekea iwe kwenye mafanikio. Pia na nyie wenzetu mliojitolea kulianzisha na kulisimamia jambo hili, Allah akujazeni kheir zake. Na sisi wengine ambao tupo nyuma yenu Allah atukunjulie nafsi zetu ili tuwe wamoja na wenye mshikamano katika kuipeperusha bendera ya Laa ilaha illa llah. – Na msichoke kutukumbusha kila wakati Inshallah. – Kwa ufupi tu kila kitu kimekaa vizuri humu na kinatia...(Not translated)Hindura
Asallam Alleykum. Inapendeza sana kuona mawazo ya kuujenga mfuko wa mapato kwa waislam wa mugumu,ilihali faida yake sio kwa waislam wa wilaya ya serengeti tu.ila tunaomba moyo wa kuitumikia dini kwa mapato hayo.na isiwe ni mfuko wa kukusanya mapato kwa ajili ya watu wachache,na sio waislam. Malumbano yawekwe pembeni,waislam hueleweshanapale mtu anapokosea.na sio kugawanyika nakulumbana(Not translated)Hindura
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakaatuh. – Bw, Faida Hassan,,, nimefurahi sana kupata maoni yako, kwanza tumuombe mola sote tuwe na afya, hekima na busara ktk kuimarisha dini. – pili tushikamane kwa pamoja wala tusifarakane.(Not translated)Hindura
Wa alaykum salaam, – bwana De Credo wa Kampala – napenda kukuhakishia kuwa hatufanyi maskhara, tupo hapa kwa ajili ya kutafuta radhi za ALLAH na si vinginevyo.(Not translated)Hindura
nijambo jema sana pale mwenyezi mungu anapo waamusha watu kama nyie kuweza kuacha mambo yenu na kutuhimiza katika kufata misingi ya uislamu, na kukuza uislamu,ni jambo rakumshukuru mungu sana. ukizigatia na eneo halisi lenye mitiani mingi kuliko miko yote tanzania sisi tuko pamoja katika kuhakikisha umoja na undugu wetu unaimalika bila ya kubaguana alakini pia kunahaja yakutafuta jia mbadala za kuigiza kipato ,kama vile kumbuni jiya za ufugaji kilimo uchomaji tofali nk .katika kuogeza...(Not translated)Hindura
nashukuru sana kwakuchukua mdawako nakuweza kutufahamisha kinachoedelea wasalamu – f.hassan(Not translated)Hindura
Taarifa kwa Waumini – BARAZA KUU LA WAISLAM TANZANIA {BAKWATA} – OFISI YA SHEIKH {w} – KAMATI YA MIPANGO NA FEDHA {w} – OFISI YA SHEIKH WA WILAYA YA SERENGETI-TEL:-+255 756 229 093/+255 713 417 921 – E-mail:- ...(Not translated)Hindura