| Base ((ururimi rutazwi)) | Kinyarwanda |
|---|---|
|
Assalam alaykum, Jazaq llahu kheir, Inshallah Allah abariki na kujaalia kila mipango tuliojiwekea iwe kwenye mafanikio. Pia na nyie wenzetu mliojitolea kulianzisha na kulisimamia jambo hili, Allah akujazeni kheir zake. Na sisi wengine ambao tupo nyuma yenu Allah atukunjulie nafsi zetu ili tuwe wamoja na wenye mshikamano katika kuipeperusha bendera ya Laa ilaha illa llah. Na msichoke kutukumbusha kila wakati Inshallah. Kwa ufupi tu kila kitu kimekaa vizuri humu na kinatia moyo, suala la kuboresha zaidi na hatimae kufikai kwenye malengo, hili ni jukumu lote sote sisi ka Waislam, Inshallah. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe