Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/NYEDACO/topic/123240/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Nakumbuka siku moja aliyekuwa Raisi wa Msumbiji wakati akiaga Watanzania...kipindi cha Mzee Mkapa alipokuwa akijibu hotuba ya Mkapa(ya Kiingereza) yeye alijibu kwa Kiswahili sanifu alisema huku akicheka."Maendeleo tunayoyafanya Msumbiji tumeiga sera na mipango yote ya Tanzania wakati tukiwa Nachingwea. Sisi Msumbiji ndio tunapaswa kujifunza zaidi kutoka Tanzania". Kwangu mimi nilijisikia aibu sana kama Mtanzania. – Sisi Watanzania kinachotumaliza ni...
(Bila tafsiri)
Hariri
sihitaji hadithi za rasilimali tulizo nazo, zinaboa tunazijua – Wadau karibuni
(Bila tafsiri)
Hariri
Ni kwa sababu hatujiamini.
(Bila tafsiri)
Hariri
@Godlisten Msaki (nyengedi):
(Bila tafsiri)
Hariri
watanzania tulio wengi ni mabigwa na wataalamu wazuri wa mawazo hasa wanasiasa wetu ila tatizo linapokuja pale inapofikia utekelezaji ndio mbinde ukitaka kuamini hilo angali kipindi cha uchaguzi kinapofia uambiwa maneno matamu na yakutia moya hata kama ulikuwa huna haja ya kupiga kura utahamasika mwenyewe kwenda kupiga kura. si hivyo tu kama mfuatiliaji mzuri kipindi cha majadiliano au utoaji wa muswada bungeni mawazo yanatoka mazuri na yakutia moyo ila sasa inapokuja kwenye utekelezaji...
(Bila tafsiri)
Hariri
Kwanini watanzania tulio wengi ni masikini hata wa mawazo.
(Bila tafsiri)
Hariri