Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Binafsi hili ni jambo jema sana hasa kwa vija walio nje wa mfumo rasmi,na kwa dhati kabisa serikali yetu kwa hili inastahili pongezi na napenda niwapongeze vijana wawakilishi toka mtandao wa vijana Temeke kwani dhamana hii ni kubwa na sina chembe ya shaka nyinyi ni vijana mahili na makini katika masuala nyeti kama jambo hili na Imani yangu mna uzoefu wa kutosha na mmestahili kutuwakilisha sisi vijana hasa tulio pembezoni ya fursa mbalimbali ikiwemo hili ya uhakika wa kupata habari na taarifa muhimu zinazotuhusu na kutugusa katika maisha yetu ya kila siku. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe