Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/TEYODEN/post/115500
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
nimefurahi kwa harakati hii ya vijana mimi kama m/k wa cbo ya KIKUNDI CHA AMKENI VIJANA ya magu napenda kutoa ushirikiano kwa kushirikiana nanyi kwa namna niwezayo
(Not translated)
Hindura
Binafsi hili ni jambo jema sana hasa kwa vija walio nje wa mfumo rasmi,na kwa dhati kabisa serikali yetu kwa hili inastahili pongezi na napenda niwapongeze vijana wawakilishi toka mtandao wa vijana Temeke kwani dhamana hii ni kubwa na sina chembe ya shaka nyinyi ni vijana mahili na makini katika masuala nyeti kama jambo hili na Imani yangu mna uzoefu wa kutosha na mmestahili kutuwakilisha sisi vijana hasa tulio pembezoni ya fursa mbalimbali ikiwemo hili ya uhakika wa kupata habari na taarifa...
(Not translated)
Hindura
Donation
(Not translated)
Hindura
PROGRAMU YA YOUTH INFORMATION CENTRE YAJA TANZANIA,DAR-ES-SALAAM IKIWA SEHEMU YA MAJARIBIO. – Wizara ya habari,utamaduni,vijana na michezo imepokea na kukubali mpango wa taarifa na habari kwa vijana utakaojulikana kama Youth information Centre.Mpango huu uliasisiwa ama kupendekezwa na bi Joyce Shahidi mkurugenzi msaafu wa Idara ya vijana ya wizara hiyo kwa alipokuwa kwenye kikao cha wadau...
(Not translated)
Hindura