Base (Swahili) | English |
---|---|
c)baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mzingira hatarishi hawawezi kuandika na kusoma vizuri. d)kamati zikaguliwe ili kuweza kujua ni wanakamati wangapi wanauwezo wa kuandika na kusoma vizuri na ni wangapi hawajui kusoma na kuandika. e)nimejifunza kwamba wakati walipokuwa wanateuliwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo. f)kamati zifanyiwe marekebisho g)wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe watakao kuwa na vigezo vya kuweza kuwa katika kamati. h)kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi zijengewe uwezo ... wanakamati wapatiwe mafunzo ili kuleta ufanisi katika kazi zao za kila siku hii itawasaidia kuweza kuandika taarifa na kujaza fomu zote zitakazotumiwa na wanakamati wakati wa utekelezaji wa mradi wa pamoja tuwalee |
c) some members of the committee on committees and vulnerable children at risk can not write and read well. d) zikaguliwe committee to determine how many committee members are able to write and read well and how many are illiterate. e) I have learned that when they were appointed there was no seriously, this situation led to committee found without power. f) Committee review required g) those who are not able to read and write removed and appointed will be a criteria to be on the committee. h) a committee of children in risky zijengewe ability ... committee members receive training in order to bring efficiency in their work each day will help them to write reports and fill out the form to be applied to all committee members during the implementation of joint project tuwalee |
Translation History
|