1.UTAWALA BORA – Lit Life kwa kutambua umuhimu wa utawala bora katika kupunguza umasikini tumekuwa na mradi wa kuwajengea uwezo viongozi wa vijiji katika kupunguza migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika wilaya Mvomero kwenye kata za mtibwa, kanga na diongoya. – Mradi huu tumeufanyia utafiti yakinifu tayari na kukusanya takwimu zinazohitajika na tutaanza utekelezaji wake hapo Augost. – 2. UUNDWAJI WA KATIBA MPYA. – Kwa kuwa... | 1.UTAWALA BEST – Life lit by recognizing the importance of good governance in poverty reduction have been the project of building the capacity of rural leaders in reducing land disputes between farmers and pastoralists in the district in the county of Mtibwa Mvomero, cloth and diongoya. – This project we are carrying out research study prepared by collecting the data needed, and we will begin implementation at Augost. – 2. Creation of a new... | Edit |