Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Good job.EMNET. Habarini za kazi,napenda kuupongeza uongozi wa EMNET kwa kazi nzuri ya kuwa na YET katika ofisi yao. Pamoja na hayo nami naomba kuwa mmoja wa YET katika ASASI yao. nawatakia kazi njema,na mungu awabariki. naitwa Paul Paul,wa Dar es salaam. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe