Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/walipo/post/1502
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Sasa hivi kikundi cha WALIPO kimechaguliwa na wilaya ya Meru kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu kwa kutumia sanaa mnato.Mpaka sasa tumekwenda sehemu mbali mbali za wilaya ya meru kutoa elimu hiyo.Tumefanikiwa sana kwani sanaa mnato tunayoionyesha jamii imekuwa ikiwavutia sana na tunawakusanya watu kirahisi na kuanza kuwapa somo.Maana ya sanaa mnato ni sanaa ambayo haitoi jibu.Tunaanza na kisa mkasa ambacho watu wanakuja kwa wingi kuangalia kulikoni na hapo hapo tunaaza kuvunja...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mimi naitwa Zephania Kyungai mwenyekiti wa kikundi cha sanaa WALIPO kilichoko Tengeru. Naishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWA kwa muda wa miaka kumi. Baada ya kufuata ushauri wa daktari niliweza kuondoa usongo wa mawazo na sasa hivi naishi bila matatizo yoyote. Nafanya kazi zangu zote nahudumia familia yangu bila matatizo.
(Bila tafsiri)
Hariri
Add a comment
Ongeza maoni
Hariri
Your email:
Email yako:
Hariri
Your email address will not be published.
Anwani yako ya email haitachapishwa.
Hariri
Your location:
Mahali ulipo:
Hariri
%s said:
%s alisema:
Hariri
(optional)
(sio lazima)
Hariri
Publish comment
Chapisha maoni
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
(edited {date})
(ilihaririwa {date})
Hariri
April
Aprili
Hariri
June
Juni
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Swahili
ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMU
Hariri
1
2
Ifuatayo »