Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
WAWAKILISHI 6 WA TEYODEN WAFANYA TATHMINI JIJINI ARUSHA NA WENZAO KUTOKA NEWALA,MAGU,HAI ARUSHA MJINI NA MWANZA MJINI KUMALIZA HATUA YA KWANZA MRADI WA WASICHANA WALIO PEMBEZONI. Katibu mtendaji wa TEYODEN akiwa na wawakilishi wengine 5 wakifanya mjadala wa pamoja juu ya shughuli zilizofanyika,mafanikio,changamoto na mapendekezo katika mradi wa mabinti walio pembezoni.Kikao hiki kimefanyika katika ukumbi wa Kumbukumbu ya Azimio la Arusha.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe