Base (Swahili) | English |
---|---|
Ni ndg. Hassan Luheko Mnaute, kiongozi wa OLAI, akisisitiza jambo la mwezeshaji katika mkutano wa hadhara wa uhamasizaji Ndg. Feruz kutoka idara ya ardhi ya wilaya Tandahimba, kuhusu kuizingatia sheria 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 katika kijiji cha Nachunyu kilichopo wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara - Tanzania. |
(Not translated) |