About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/OLAI/news
: English
Base
English
(image) – Aliyesimama na kipaza sauti ni Ndg. Hassan Luheko Mnaute, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa uhamasishaji kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 kwa wananchi wa kijiji cha Likolombe kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara - Tanzania, wakati wa utekelezaji wa mradi uliofadhiliwa na The Foundation for Civil Society (FCS).
(Not translated)
Edit
IJUE OLAI: Organization for Land and Agriculture Improvement, ni Asasi ya kiraia iliyoasisiwa mwaka 2010 na kupata usajili wake mwaka 2011 katika wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto na kupata namba ya usajili ooNGO/oooo4476. DIRA YA OLAI: Kuwa na jamii yenye mtazamo angavu kwenye nyanja za Elimu, Afya, Ardhi na kilimo, Mazingira, Utawala bora na Haki za binadamu. DHIMA YA OLAI: Kuiwezesha jamii ya Tandahimba na Tanzania, kuzitambua fursa mbali mbali, kushiriki kwa ufanisi ili...
(Not translated)
Edit
(image) – Walemavu nao walishirishwa wakati wa utekelezaji wa mradi wa sheria Na. 5 ya ardhi
(Not translated)
Edit
Hassan Luheko Mnaute, mwenyekiti wa Organization for Land and Agriculture Improvement Mobile: 0788 715 532 / 0654 269 456, TANDAHIMBA. Ninatoa wito kwa Asasi za kiraia kuwa, tubuni miradi yenye kuleta faida kwa nia ya kujipatia rasilimali fedha ili kusaidia Asasi zetu kuwa na uwezo wa kujiendesha pia kuwa na amasa kwa wafanyakazi wa Asasi, kufanya kazi kwa ufanisi ili Asasi za kiraia ziweze kuyafia malengo. Tukumbuke Asasi nyingi wafanyakazi wake ni wa kujitolea. ENVAYA juu, ninaiombea isonge...
(Not translated)
Edit
(image) – Washiriki wa mdahalo wa siku moja wa kujadili changamoto mbali mbali zinazoikabili sekta ya Ardhi, ulioandaliwa OLAI kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society (FCS) wilayani Tandahimba - Mtwara
(Not translated)
Edit
(image) – Ndg. Hassan Luheko Mnaute, mratibu wa mradi wa kuwajengea uwezo wananchi kuhusu Sheria Na. 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999, kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society (FCS), mradi wenye thamani ya Tshs. 51,990,000/=
(Not translated)
Edit
Wadau, ni muhimu kuelezana wazi kuwa, Asasi za kiraia (NGOs) zilizo nyingi hasa ndogo ndogo vijijini (Plot farm) hazina mihimili maalum ya kujipatia mapato ili kuziwezesha kuujenga uchumi imara na kumudu kutekeleza shughuli mbalimbali za kiasasi ili kuyafikia malengo yake. Mitaji mikubwa ya Asasi hizi ni michango na ada za wanachama wa Asasi hizo. Kwa namna yeyote, ni wazi kuwa Asasi hizi zitakuwa tegemezi hasa katika ruzuku ili ziwe na uwezo japo posho tu za watumishi wake. Bila ruzuku ndio...
(Not translated)
Edit
(image) – Ni ndg. Hassan Luheko Mnaute, kiongozi wa OLAI, akisisitiza jambo la mwezeshaji katika mkutano wa hadhara wa uhamasizaji Ndg. Feruz kutoka idara ya ardhi ya wilaya Tandahimba, kuhusu kuizingatia sheria 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 katika kijiji cha Nachunyu kilichopo wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara - Tanzania.
(Not translated)
Edit
(image) – Ndg. Hassan Luheko Mnaute, mwenyekiti wa Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI)
(Not translated)
Edit
Katika muda wa miaka 3 ya 2012 - 2014 na 2015, Asasi ya Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI) imekuwa ikitekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wananchi na wajumbe wa mabaraza ya Ardhi ya vijiji na kata, kuhusu sheria Na. 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999, na kanuni zake za mwaka 2002, kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society (FCS) kwa ruzuku jumla ya Tshs. 51,990,000/= katika kata 7 zenye vijiji 42 katika Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba iliopo mkoani Mtwara -...
(Not translated)
Edit