Shirika hili lilianza rasimi mwaka 1998 na kusajiliwa mwaka 2000. Lilianza na watoto 12tu, kwenye kituo wakiwa na umri kati ya miaka 2 na 4. Hivi sasa lina watoto zaidi ya 150, vituo 3 na kimoja kiko Shinyanga, mahali ambako linajishughulisha na wazee waliokataliwa na jamii zao kwa tuhuma za kichawi. – Mafanikio makubwa tuliyoyapata kwa kipindi hicho ni kuwa na shule ya awali na msingi. Hivyo kurahisisha malezi kwa kufanya ufuatiliaji wa karibu kwa mwenendo wa watoto. ... | (Not translated) | Hindura |