Shirika hili lilianza rasimi mwaka 1998 na kusajiliwa mwaka 2000. Lilianza na watoto 12tu, kwenye kituo wakiwa na umri kati ya miaka 2 na 4. Hivi sasa lina watoto zaidi ya 150, vituo 3 na kimoja kiko Shinyanga, mahali ambako linajishughulisha na wazee waliokataliwa na jamii zao kwa tuhuma za kichawi. – Mafanikio makubwa tuliyoyapata kwa kipindi hicho ni kuwa na shule ya awali na msingi. Hivyo kurahisisha malezi kwa kufanya ufuatiliaji wa karibu kwa mwenendo wa watoto. ... | This organization began in 1998 and registered classical 2000. 12tu children began, the station with aged between 2 and 4. Right now contains more than 150 children, three centers and one is MC, the place where the elderly linajishughulisha rejected by their communities on suspicion of magical. – Success we have received for that period is a pre-school and primary. By doing so facilitate the formation of close monitoring of children's behavior. ... | Edit |