Mpango huu wa WORTH umelenga kushirikiana na wadau mabalimbali wa maendeleo kwa lengo la kuisaidia jamii inayoishi katika mazingira hatarishi. Tumeshirikiana na shirika la hifadhi ya jamii la NSSF lengo likiwa ni kuisaidia jamii kupitia vikundi vyetu vya WORTH ambapo tunalenga kuwasaidia akina mama wanaohudumia watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi wajiunge na NSSF ili waweze kupata sifa au vigevyo vya kuwa wanachama ambapo sasa wataweze kupata huduma ya matibabu kupitia NSSF wao na... | (Bila tafsiri) | Hariri |