Fungua

/OLAI/post/20565: Kiswahili

AsiliKiswahili
Ingawa Asasi au mashirika yasiyo ya kiserikali sio vizuri kukaa na kuandaa bajeti kwa ajili ya kuomba ruzuku tu, lakini mashirika haya yanatoa mchango mkubwa katika harakati za kupambana na umaskini na kuwa chachu ya maendeleo endelevu. Mashirika ya kimataifa yatambue juhudi za Asasi za kiraia na itakapowezekana ziwe zinapewa ruzuku ili ziendelee na harakati hizi muhimu kwa jamii.(Bila tafsiri)Hariri
Katika muda wa miaka 3 ya 2012 - 2014 na 2015, Asasi ya Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI) imekuwa ikitekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wananchi na wajumbe wa mabaraza ya Ardhi ya vijiji na kata, kuhusu sheria Na. 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999, na kanuni zake za mwaka 2002, kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society (FCS) kwa ruzuku jumla ya Tshs. 51,990,000/= katika kata 7 zenye vijiji 42 katika Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba iliopo mkoani Mtwara -...(Bila tafsiri)Hariri
Add a commentOngeza maoniHariri
Your email:Email yako:Hariri
Your email address will not be published.Anwani yako ya email haitachapishwa.Hariri
Your location:Mahali ulipo:Hariri
%s said:%s alisema:Hariri
(optional)(sio lazima)Hariri
Publish commentChapisha maoniHariri
CommentsMaoniHariri
DecemberDesembaHariri
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hariri
SwahiliALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMUHariri
(unknown language)kiswahil(lugha nyingine)Hariri
Main MenuMenyu KuuHariri