DAKAWA PERFOMING ARTS ORG Ilianzishwa mwaka 2007 kikiwa ni kikundi kidogo cha wasanii kilicholenga awali kutoa elimukwa jamii kwa kutumia mbinu ya sanaa hasa sanaa shirikishi kwa maendeleo ya jamii. – Kikundi kilianza kikiwa na wasanii sita waanzilishi na wasanii waalikwa sita. – Kilifanya kazi zake za awli kwa ushirikiano na mashirika mabalimbali ambayo ni wadau wa maendeleo ya jamii,kwa kiwango cha ufanisi wa hali yajuu huku kikiwa na mfumo... | (Bila tafsiri) | Hariri |