UWANE ilianzishwa mwaka 2oo1 kwa kuanza na wanachama 25. Hivi sasa Umoja una wanachanma wapatao 62 walio hai. Umoja una uongozi uliokamilika ukiwa na Mwenyekiti Makamu mwenyekiti, Katibu Mtendaji,KATIBU Msaidizi, Mweka Hazina na wajumbe l5 wanaounda Kamati ya Utendaji ambao hukutana mara moja kila mwezi. Vile vile kuna mkutano mkuu wa wanachama wote kila mwaka mwezi Desemba. Asasi hii ilisajiliwa mwaka 2oo2 mwezi Desemba tarehe l6 ns kupewa Hati ya Usajili... | (Bila tafsiri) | Hariri |