Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Kila siku ya jumamosi ni usafi katika sekta ya afya yaani waislam tunaungana kwa pamoja na kwenda kufanya usafi Hospitalini ikiwa ni pamoja na kuwaona wagonjwa na kuwapa zawadi , kwafariji na kuwaombea dua. Tunahitaji walimu wakujitolea katika kuwafundisha wanafunzi wa shule mbalimbali ikwa ni pamoja na shule za msingi |
(Not translated) |