Base (Swahili) | English |
---|---|
1. Katika kuzuia wimbi la vijana kujiingiza katika matumizi ya madawa ya kulevya ,Tosa inatoa elimu kwa vijana jinsi ya kujiepusha na matumizi ya dawa za kulevya madawa ya ikishirikiana na wadau mbalimbali. 2 Tosa inawasaidia watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi kuendelea na masomo kwa kuwapa sare za shule na vifaa vya shule mara 2 kwa mwaka 3.Kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wajane, vijana na walezi wa watoto ili waweze kutumia raslimali walizonazo kuboresha maisha yao. 4.Tosa inatoa semina kwa waalimu wa shule za msingi ili kugundua mabadiliko ya tabia za watoto wanaishi katika mazingira hatarishi ili kuweza kwasaidia na kuwapa ushauri. 5.Tosa inafanya mradi wa mama na mtoto kwa kushirikiana na shirika la tandabui healthaccess Tanzania ili kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto chini ya miaka 5 katika kutoa elimu kwa jamii katika wilaya ya nyamagana kupitia kwenye zahanati na mikutano ya jamii. 6.Tosa inatoa elimu juu ya mabadiliko ya tabia katika vita dhidi ya malaria katika wilaya ya nyamagana kwa kushirikiana na shirika la tandabui la mwanza na mtandao wa kuthibiti malaria- tanam dar es salaam. 7. Tosa inatoa elimu ya makuzi kwa watoto ili kuwaanda ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya mwili kupitia vikundi vya watoto na michezo
|
1.Tosa provides education to young people how to avoid drug use drugs in collaboration with various stakeholders. 2 TOSA supports orphans and vulnerable children in vulnerable subjects to continue to provide school uniforms and school supplies 2 times per year 3.Kutoa entrepreneurship training for widows, youth and caregivers of children to use the resources they have to improve their lives. 4.Tosa offers seminars for teachers of primary schools in order to detect changes in the behavior of children living in vulnerable in order to I help and give advice. 5.Tosa makes mother and son project in collaboration with Tanzania healthaccess cobweb agency to reduce maternal mortality and children under 5 years in providing education to the community in the district of Nyamagana through the clinic and community meetings. 6.Tosa provides education on behavior change in the fight against malaria in the district Nyamagana agency in conjunction with the beginning and tanam cobweb of Dar es Salaam. 7.kutoa development seminars for children living in high-risk environment. |
Translation History
|