SHIRIKA LA MAENDELEO NA SERA TANDAHIMBA (SHIMASETA) ni Asasi ya kiraia iliyoasisiwa mwaka 2008, na kuanza shughuli zake mnamo mwaka 2009. Ofisi za makao makuu, zipo katika kijiji cha Chaume, Kata ya Chaume, wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara - Tanzania. Shimaseta ni shirika lisilo la kiserikali ambalo halilengi kupata faida "Azak" lililosajiliwa chini ya Sheria Na. 24 ya usajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali, katika Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto. Kazi ambazo SHIMASETA... | (Bila tafsiri) | Hariri |