TSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi – Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). – TSD inamiliki ekari 53 eneo la Mlaleni,Wilaya ya Mkuranga,Mkoa wa Pwani.Shamba hili linatumika kama sehemu ya mazoezi ya Kilimo na ufugaji kwa wanafunzi viziwi ili wapate stadi za maisha... | TSD owns and operate the Deaf Buguruni Primary School since February 1974 which is a boarding and day and now has 260 students kindergarten to vocational – The school has kindergarten, primary grades 1-7 also has a vocational college that is registered by (VETA). – TSD owns 53 acres of land at Mkuranga District, Coast Region The farm is used as part of the practice of agriculture and livestock for deaf students to have life skills and knowledge about agriculture. The... | Edit |