TSD inamiliki na kuendesha Shule ya Msingi Buguruni Viziwi kuanzia February 1974 ambayo ni boarding na day na kwa sasa ina wanafunzi 260 chekechea hadi ufundi – Shule ina darasa la chekechea,elimu ya msingi darasa la 1-7 pia ina chuo cha ufundi stadi kilicho sajiriwa na (VETA). – TSD inamiliki ekari 53 eneo la Mlaleni,Wilaya ya Mkuranga,Mkoa wa Pwani.Shamba hili linatumika kama sehemu ya mazoezi ya Kilimo na ufugaji kwa wanafunzi viziwi ili wapate stadi za maisha... | (Bila tafsiri) | Hariri |