MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI WILAYA YA MULEBA- KAGERA – Shirika la Kwa wazee Nshamba Muleba kwa kushirikiana na Wazee ,walengwa liliadhimisha siku ya Wazee Duniani yaani tarehe 1 OTOBA 2012. – Siku hiyo ilikuwa ya vifijo shangwe na nderemo kwa wazee wa kata saba za wilaya ya MULEBA na wanajamii waishio maeneo ya kata Nshamba, wajukuu wanao tunzwa na Wazee na wafanyakazi wa... | ELDERS DAY CELEBRATIONS OF WORLD DISTRICT Muleba-Kagera – Agency for elderly Muleba field in conjunction with the Elders, targeted liliadhimisha the World Elders Day on October 1st of 2012. – That day was a joy and comfort to the applause of the county's seven elders Muleba districts and communities living in areas of the county farm, grandchildren who cared for the elderly and the staff of the organization,... | Edit |