Ndugu wadau pamoja na wana asasi wote natumaini wote hamjambo pamoja nakuwa wote tuko ndani ya chombo kimoja au boti moja nia na madhumuni nikupata ulimengu wenye usawa na haki maridhawa amani na utulivu.Pamoja nakuwa ndani ya chombo kimoja lakini milango ya kutokea ni tofauti sisi wenzenu wana TUNAWEZA WOMEN GROUP tume azimia kutoa chagamoto kwa wanafunzi wa shule za msingi hapa nchini tukianzia na manispaa ya ilala – Changa moto yenyewe ni kwamba tuna azimia kutoa zawadi... | (Not translated) | Edit |