Base (Swahili) |
English |
Mikakati ya Baadaye ya MED ni:-
- Kuwa na Kituo cha Radio FM kwa ajili ya Elimu kwa jamii kanda ya Kati.
- Kuwa na Jarida huru kwa ajili ya upashanaji habari.
- Kuwafikia wananchi walio pembezoni na kuwaelimisha.
- Kuboresha dawati la Elimu na Demokrasia kwa makundi yote ya Jamii.
- Kuimarisha Klabu za Marafiki wa Elimu
- Kushirikiana na TAKUKURU katika kutoa Elimu ya Kuzuia Rushwa.
- Kuwa na matamasha ya michezo mbalimbali kwa lengo la kuelimisha na kuburudisha.
- Kutengeneza na kusambaza Video Clips za kazi na reports za MED kupitia mtandao.
|
Future Strategies for WITH is: -
- Be FM Radio Centre for Education in the Central region communities.
- Being independent newsletter for information sharing.
- Reach people and educate those around it.
- Improving the desk of Education and Democracy for all groups of the Community.
- Strengthening Community Education Club
- Collaborate to provide TAKUKURU in Corruption Prevention Education.
- Being different sports and concerts aimed at educating and fun.
- Making and distributing Video Clips of work and reports of WITH through the network.
|