WI1aSAGmzi2M2hiwJwpFnDkw:content | LINGONET ni Mtandao wa AZAKi Wilaya ya Lindi kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society inatekeleza mradi wa kutoa elimu ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 katika jimbo la Mchinga. – shughuli zinazotekelezwa katika mradi huu ni kufanya mafunzo katika kata 3 za Kitomanga,Kilangala na Mchinga,mafunzo haya yatakayotolewa kwa washiriki 40 kila kata kwa muda wa siku mbili yatahusu kuhamasisha ushiriki wa jamii katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015,kwa kuhamasisha jamii kushiriki katika... | LINGONET ni Mtandao wa AZAKi Wilaya ya Lindi kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society inatekeleza mradi wa kutoa elimu ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 katika jimbo la Mchinga. – shughuli zinazotekelezwa katika mradi huu ni kufanya mafunzo katika kata 3 za Kitomanga,Kilangala na Mchinga,mafunzo haya yatakayotolewa kwa washiriki 40 kila kata kwa muda wa siku mbili yatahusu kuhamasisha ushiriki wa jamii katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015,kwa kuhamasisha jamii kushiriki katika... | atamura626 | February 7, 2017 |