Injira

Ubusobanuro: English (en): Abasemuzi: Maranye Agro Processing Social Business (thegreenmaranye)

Izina Maranye Agro Processing Social Business (thegreenmaranye)
Ubushize 23 Gashyantare, 2013
Ubusobanuro 8
Amajwi 8

Ubusobanuro bw'akakanya

IjamboBaseEnglishUmusemuziIgihe gishyizweho
WIxsn4N7StrdGWxbP07e502y:content(image)Papai ni tunda linaloweza kulimwa na kuleta faida kubwa sana. (image)thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013
WIsuJCnXM5gcs6lDIxAfMxW2:content(image)Bank za maji zinahitajika sana shambani ili kuweza kuwa na akiba ya kutosha ya maji ya mvua kwa kilimo na mifugo (image)thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013
WIk6BOSpZfcgBhbRKyhMMr39:content(image)Mipango madhubuti ni muhimu ili kuweza kufanikisha kuvuna na kuhifadhi maji ya mvua shambani (image)thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013
WIQtilYIbfJvnuqHuc2h3vSe:content(image)uvunaji wa maji ya mvua unaweza fanyika katika sehemu mbalimbali ndani ya shamba, ili kuweza kuwa na Bank za kutosha za maji shambani (image)thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013
WIPqNJVxXV1HZMuIJaHuf7GZ:content(image)Utafiti wa uvunaji wa majihuanzia katika tafiti za jinsi ya kutega na kuvuna maji ya mvua, ni muhimu sana kijua yatoka wapi na wapi utyatategwa.thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013
WILiP1TW4O1BqiR5OJjdhC8k:content(image)Ufugaji wa kuku wa kienyeji unatija sana katika mashamba madogo ya wakulima, kama inavyoonekana katika shamba la Maranye (image)thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013
WI7cE2xjIF6zX9WQGxTDhFNI:content(image)Uvunaji wa maji ni muhimu kutokana na eneo la kisarawe/Kijiji cha Masanganya kutokuwa na mito (image)thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013
WIEm1tQ5uWCivJXlyIKw0j0G:content(image)Kilimo cha kutegemea mvua si salama si salama {Rain - fed farming} – (image)thegreenmaranye23 Gashyantare, 2013