Internal ID | Base | English | Translator | Time Created |
---|
(hidden) |
WI000B66EC26612000041460:content | kijogoo inataraji kwenda katika mafunzo ya kujengewa uwezo jijini DSM yatakayo tolewa na Mfadhili the foundation for civil society tarehe 8/8/2011 | Kijogoo expects to go to the capacity building training in Dar es Salaam city offered by grantmaker The Foundation for Civil Society on 8/8/2011. | youngj | August 2, 2011 |
WI0000DFE8103C0000021252:content | TUMEPATA ELIMU YA KUJIUNGA NA TOVUTI YA ENVAYA LEO TAREHE 18/05/2011 MAFUNZO MAZURI TUMEFURAHI KUYAPATA TUNAWASHUKURU WALIOTUWEZESHA KWANI WAMETUPATIA KITU KIPYA AMBACHO HATUJAKITEGEMEA TUNAWASHUKURU SANA. | We have received good training for how to join Envaya today, 05/18/2011. We have enjoyed it. We thank those who have enabled us to get a new thing which we haven't used before. We thank you very much. | youngj | July 25, 2011 |
WI000D2ED3972DB000027236:content | kujenga uwezo wa utawala bora na haki nza kiraia | Capacity building of governance and civil rights | youngj | July 24, 2011 |
WI0003A37997B21000021235:content | KUIPA JAMII NGUVU YA KUWA NA HAKI SAWA KATIKA KUPANGA MAAMUZI,KUHAKIKISHA JAMII INAPATA ELIMU YA AFYA NA KUWA NA AFYA BORA,USAFI WA MAZINGIRA NA KUJITAMBUA | Giving the community the strength to have equal rights in decision making processes, ensuring the community receives health education and stays healthy, sanitation, and self-realization. | youngj | July 24, 2011 |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
WI0007A3C166E10000000160:content | Tushiriki ya yatoa elimu ya utawala bora kwenye sekta ya misitu wilaya ya rungwe Mkoani Mbeya | Tushiriki offers education of governance in the forestry sector, Rungwe District, Mbeya Region | youngj | July 13, 2010 |
WI0000FB5E4FD28000000203:content | Pia tunakaribisha wanachama wapya katika TNJPOSITIVE kwahiyo kwa kila mwandishi aliye na virusi vya ukimwi anakaribishwa | Also we are welcoming new members to TNJPOSITIVE so that each journalist who has the AIDS virus is welcomed. | youngj | July 13, 2010 |