Ijambo | Base | English | Umusemuzi | Igihe gishyizweho |
---|
WI0007A3C166E10000000160:content | Tushiriki ya yatoa elimu ya utawala bora kwenye sekta ya misitu wilaya ya rungwe Mkoani Mbeya | Tushiriki offers education of governance in the forestry sector, Rungwe District, Mbeya Region | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
WI0000FB5E4FD28000000203:content | Pia tunakaribisha wanachama wapya katika TNJPOSITIVE kwahiyo kwa kila mwandishi aliye na virusi vya ukimwi anakaribishwa | Also we are welcoming new members to TNJPOSITIVE so that each journalist who has the AIDS virus is welcomed. | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
WI000C4FDDF1A20000000159:content | WAPA inashuhulika na kutengeneza kuuza na kuhamasisha kuhusu bidhaa za Mnonge. | WAPA is busy preparing to sell and to motivate about merchandise of the down-and-out. | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
WI0007082B3D194000000158:content | Kesho tutafanya mkutano wa wananchi juu ya Utawala bora wa sheria haki na usawa katika jamii. Ambao tutafanyia Mbezi Mshikamano karibu na ofisi zetu. Wote Mnakaribishwa | Tomorrow we will have a citizen meeting about Governance of law, rights, and equality in society. Which we will do at Mbezi Mshikamano near our offices. All are welcomed. | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
(hidden) |
WI00028CFB019A4000000169:content | Kwasasa tunafanya workshop ya mafunzo ya ufuasi sahihi wa dawa za kupunguza makali ya VVU na Ukimwi pamoja na lishe. – Workshop hii tunawahusisha wale wanaoishsi na VVU na wale wanao watunza wanao tumia dawa hizo. – tuna mitandao mitatu katika wilaya za Temeke Ilala na Kinodoni. haya mafunzo yanaendeshwa katika wilaya zote hizo tatu. | For now, we are doing a training workshop for a correct medicine regimen for decreasing the severity of HIV / AIDS together with nutrition. – In this workshop we will involve people living with HIV and those who care for those who use these medicines. – We have three networks in the Temeke, Ilala, and Kinodoni district s. These trainings are being continued in all three of these districts. | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
(hidden) |
WI00092C5CF0B4A000000132:content | Mkuu wa TUPENDANEGROUP anaumwa macho kutokana na kuathirika. Ameshauriwa kuenda Hospitali ya MVUMI ADMISSION HOSPITAL ili kupata matibabu. Sisi wenzake wa TUPENDANE GROUP tunamuombea apone haraka ili shughuli za tupendane ziendelee. | The head of TUPENDANE GROUP has eye pain from being infected. She has been advised to go to Mvumi Admission Hospital to receive treatment. We, her companions of TUPENDANE GROUP, ask for her to get better quickly so that the work of Tupendane may continue. | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
WI000DFB4AD307C000000130:content | Kwa sasa tunajihusisha na kushona, kupika vitumbua na kuuza nguo za mitumba. Hivi ndivyo tunajikimu kwa sasa. | Currently we are engaged in sewing, cooking 'vitumbua' and selling 'mitumba' clothes. This is how we provide for ourselves for now. | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
WI000427D31F46D000000129:content | Kikundi hiki kimeundwa na wanawake walio athirika na Virusi vya ukimwi. Baada ya kugundua hali zetu mbaya za kiafya mwaka 2006 ndipo tulipo amua kuanzisha kikundi hiki. Mwezi February tarehe 9 mwaka jana ndipo tulipo pata usajili wa kuwa NGO rasmi. – Kwakuwa kikundi chetu kilikuwa ni kichanga, hatukujua namna sahihi ya kupata ruzuku. Hivyo tukakubaliana na shikrika linalo fanya kazi na wa athirika TANOFA kuwa tuchangie kiasi cha shilingi laki tano alafu baada ya mwezi watupe mkopo wa... | This group is made up of women who are infected with HIV / AIDS. After discovering our bad health condition in 2006, we decided to start this group. February 9 last year we got registered as an official NGO. – Because our group was new, we didn't know the correct way to get grants. So we agreed with an organization that does work with infected people, TANOFA, that we may give them 500,000 TSh then after a year they give us 2,000,000 TSh for doing work. But it wasn't like... | youngj | 13 Nyakanga, 2010 |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |