Fungua

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: CMDA3qrkdHxOpgUUW2OcCdkG:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) English
wiki ya kuanzia tarehe 15 april asasi yetu ilikuwa katika maeneo ya Iringa vijijini katika vijiji vya tarafa ya Isimani vya, kinywang'anga, mkungugu, na kising'a. katika kampeni ya kupiga vita matumizi ya pombe.

siku hizo zilikuwa katika siku za maandalizi ya mwisho ya chanjo. japo haikuwa rasmi tuliizungumzia kwa kuendesha majadiliano ya dakika kumi hadi kumi na tano.

Pomoja na hilo jambo hili halikuwa rasmi kwetu, hali iliyopelekea kupata nafasi ndogo kulizungumzia.

katika uhalisia wake tatizo bado lipo, idadi ya watoto ambao wanahitaji kupata chanjo bado ni wengi, hii inatokana na uvumi na uzushi mwingi miongoni mwa jamii kuwa chanjo zina malengo maalum ikiwemo kupunguza idadi nya watu.

njia zinazotumiwa na serikali katika kufanya uhamasishaji ukweli zimekuwa za kulazimisha zaidi kuliko kuhamasisha haswa katika maeneo ya vijijini. maofisa maendeleo, watendaji wa vijiji na kata na kamati zao ndio wamekuwa wapelekaji ujumbe katika jamii kupitia mikutano mbalimbali ya vijiji.

maelezo ya kutosha kutoka kwa viongozi na watawala hayapatikani, nia na maelengo sahihi ya chanjo bado havijawa wimbo kwa jamii (havijulikani).

sioni sababu kwanini serikali isitumie mashirika ya kiraia katika kuhamasisha vema malengo,umuhimu wa watoto kupata chanjo kwa ustawi wa afya ya jamii.

meneo mengi ya vijiji ni maeneo yaliyosahaulika, ni jukumu la serikali kuhamasisha kwanza mashirika ya kiraia ili yawezeshe upashanaji habari njema za afya haswa hili la chanjo katika maeneo ya vijiji.
weeks starting on 15 April our organization was in Iringa rural areas in villages Isimani division of, kinywang'anga, mkungugu, and kising'a. campaign to fight alcohol abuse.

those days were in the final days of preparation of the vaccine. though not formally, we speak about a ten minute drive discussion to fifteen.

Pomoja and that this official was not us, the state leading up to a small space to dialogue.

the realism problem still exists, the number of children who need to get the vaccine is still many, this phenomenon is due to speculation and a lot of the community that vaccines have specific goals, including reducing the number of new people.

method used by the government in fact has been doing outreach to force more than encouraging, especially in rural areas. development officers, village and county officials and their committees are just that message transmission in the community through various meetings of the village.

enough information from leaders and managers are not available, willing and accurate coverage maelengo not yet track by category (unknown).

I see no reason why the government isitumie civil society in promoting good goals, the importance of children getting health coverage for the welfare of the community.

parts of the city are neglected areas, is the first responsibility of government to encourage civil society to yawezeshe sharing the good news of this particular health coverage in rural areas.

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

Google Translate
25 Mei, 2012
weeks starting on 15 April our organization was in Iringa rural areas in villages Isimani division of, kinywang'anga, mkungugu, and kising'a. campaign to fight alcohol abuse. – those days were in the final days of preparation of the vaccine. though not formally, we speak about a ten minute drive discussion to fifteen. – Pomoja and that this official was not us, the state leading up to a small space to dialogue. – the realism problem still exists, the number of children who...