Base (Igiswayire) | English |
---|---|
Toka tarehe 13 hadi tarehe 28 mwezi wa 4 tulikuwa na kazi ya kufuatilia matokeo ya utekelezaji wa mradi wetu wa kuijengea jamii uwezo wa kina kuhusu kupambana na biashara za ngono na matumizi ya dwa za kulevya katika maeneo ya machimbo, ziara iliyoweza kutufikisha kwenye vijiji vya Amani makolo, Ngemba mbili, Tingi, Mkako, Kigonsera, Mpepo, na Dar pori.Pia tuliweza kukutana CBOs zipatazo 50 ambazo ni matokeo ya mradi wetu, katika wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma. kote tulikopita hakuna taarifa wala maadalizi ya chanjo hii, na wala hakuna ushirikishwaji wowote wa taasisi za kiraia katika kampeni hizi, hii inanipa wasiwasi wa kutokuwepo kwa matokeo mazuri tarajiwa na mpango huu. Tatizo kubwa la kutofanikiwa kwa mradi huu ni kutokuwa na mpango mzuri wa uhamasishaji jamii na elimu ndogo kwa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hii, jamii inaamini kuwa serekali ina mpango wa kupunguza idadi ya watu kwa kuua kizazi cha watoto kupitia chanjo hii. Nini kifanyike sasa: kuna kila sababu ya serekali kuhusisha taasisi za kiraia katika kutoa elimu hii na kufanya kampeni, kwani taasisi hizi ziko karibu zaidi na jamii na ni rahisi kueleweka kwa jamii , kuliko hii njia inayotumika ya kutoa matangazo kwenye vyombo vya habari. wananchi wa vijijini hawana hata huo muda wa kufuatilia vyombo vya habari. |
From 13th to 28th month of the 4th we had the job of monitoring the results of the implementation of our project to build communities capable of detailed information on anti-trade sex with the use of administered drugs in areas of the quarry, a tour could be take us to the villages of Peace Kolo, two Ngemba, Tingi, Mkako, Kigonsera, wind, and Dar pori.Pia we can meet about 50 CBOs that are the result of our project, in the district of Ruvuma region Mbinga. world we kopita no information or preparation of the vaccine, with no involvement of any of the institutions of civil society in these campaigns, it gives this concern of the lack of results expected by this program. The main problem of the failure of this project is the lack of a good deal of community outreach and education to small communities on the importance of this coverage, the community believes that government has a plan to reduce the number of people to kill a generation of children through this coverage. What can be done now: there is every reason for governments to involve civil society institutions to provide this education and advocacy, as these institutions are located closer to the community and is easily understandable to the community, than this common method of providing advertisements on media. people in villages do not even have time to monitor the media. |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe
Ibyasobanuwe
|