Base (Swahili) | English |
---|---|
LINGONET ni Mtandao wa AZAKi Wilaya ya Lindi kwa ufadhili wa The Foundation For Civil Society inatekeleza mradi wa kutoa elimu ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 katika jimbo la Mchinga. shughuli zinazotekelezwa katika mradi huu ni kufanya mafunzo katika kata 3 za Kitomanga,Kilangala na Mchinga,mafunzo haya yatakayotolewa kwa washiriki 40 kila kata kwa muda wa siku mbili yatahusu kuhamasisha ushiriki wa jamii katika mchakato wa uchaguzi mkuu 2015,kwa kuhamasisha jamii kushiriki katika kampeni na kupiga kura siku ikifika yaani october 25 mwaka 2015. sambamba na mafunzo haya LINGONET imeaandaa na kusambaza vipeperushi 3000 vyenye ujumbe wa kuhamasisha ushiriki wa jamii katika mchakato wa uchaguzi mkuu.ujumbe uliomo katika vipeperushi hivi ni TANZANIA YA LEO NANIJAYO IKO MIKONONI MWAKO NENDA KAPIGE KURA. pamoja na Mtandao asasi wananchama za LISAWE NA LIWOPAC nazo wanatekeleza miradi ya uchaguzi katika wilaya ya Lindi katika kata za Namangale,Nyangamala kwa LIWOPAC na Mipingo na Milola kwa LISAWE. Ni matarajio ya AZAKIkuendelea kusaidia jamii katika shighuli za kijamii na kisera ili kuimarisha ushiriki wao katika michakato mbalimbali ya kimaendeleo |

Translation History
|