Asili ((unknown language)) |
English |
 |
Mgeni rasmi katika hafla hiyo Naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundistadi stadi Philip Mlugo Mh Mbunge wa jimbo la Lupa akizungumza kwenye hafla hiyo |
 | Moses Kyando kushoto akifurahia jambo wakati wakimpokea mgeni rasmi kwenye gafla hiyo, anayefuatia ni dada Foster Ng'umba na kiongozi mwingine wa Makete platform ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja. |
 | Mzee Dr Hassy Kitine akiwa amepozi kwa umakini akifuatilia hotuba ya mgeni rasmi ambaye hayupo pichani, pembeni ni Dada Gella Mahenge kiongozi wa Makete Platform |
 | Wanahabari pia walikuwemo kuair out issues |
 | Hawa ni miongoni wa wana makete waliojaliwa kuhudhulia hafla hiyo iliyofanyika Msasani Club |
|
|