Fungua

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WI000259D5C48B8000095501:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) English

Mithali19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; bali mke mwenye busaramtu hupewa na Bwana”. Ni matumainiyangu kwamba u-mzima kijana mwenzangu na una maendeleo mazuri kiroho nakimwili. Katika waraka huu mfupi kwa vijana nataka kujibu swali hili ambalovijana wengi wamekuwa wakijiuliza. Wengine kutokana na kutojua ukweli wakewamejikuta wakifanya maamuzi ambayo hadi leo wanayajutia . Kibiblia,tunajua kabisa ni mpango wa Mungu tuweze kuoa au kuolewa. Sasa swali linakuja,je ni lazima Mungu anionyeshe, anipe mke au mume wa maisha yangu? Kwani mimikijana sina uwezo wa kuangalia mtu kisha nikaomba Mungu na mwishonikajichagulia mwenyewe? Au kifupi maamuzi ya nani atakua mume/mke wangu ni yanani?
sekeleti.jpg
Hili niswali ambalo vijana wengi limekuwa likiwachanganya. Wengine wanaamini maamuzihayo ni ya Mungu kunipa mke/mume na wengine wanaamini Mungu hahusiki, bali waondio wenye nafasi na wanaohusika. Sasa hayo ni mawazo yao wala mimi sitakikuyapinga lakini ngoja nikuonyeshe Biblia inasema nini halafu utajua ukweli niupi:- Kwenyekitabu cha Mithali 19:14 , Mungu anasema suala la nyumba, mashamba, maduka navyote vifafanavyo na hivi nimewapa uwezo na ruhusa wazazi wako baba & mama)wa mwili wakupe lakini suala la mke au mume mwenye busara mimi pekee ndiyeninaye wajibika kukupa .Sikiliza kama unataka mke/mume kwa ajili ya kulitumikiakusudi la Mungu alilokuumbia basi huna budi ni lazima upige goti kuomba nakisha ungoje Mungu akuonyeshe/ akupe mke/mume wa kusudi lake. Vijana wengiwanafikiri eti kwa sababu wameokoka, na wamejzwa roho mtakatifu basi wanao –uwezo wa kujichagulia mke/mume wa kuishi nao. Sikiliza kama una amini umeumbwakwa kusudi la Mungu na unataka kutembea katika njia yake basi mruhusu Munguakupe mke/mume mwenye busara ya kukaa na wewe. Mke au mumeana sehemu kubwa katika maisha yako. Anaweza akabadilisha maisha yako, yakiroho, kiuchumi, kimwili, kihuduma na kima husiano na watu wengine.Hivyokibiblia maamuzi ya nani atakuwa mkeo au mumeo ni ya Mungu na si ya kwako. Hiiina maana ukimuomba Mungu hakika atakuletea mtu halisi wa kukaa na wewe. Lakinimaamuzi ya kumkubali au kumkataa ni ya kwako na si ya Mungu. Ukikubali shaurila Bwana litatumikiwa, ukimkataa, umejikaribishia laana. Zifuatazo nisababu za msingi zinazomfanya Mungu akuchagulie/akupe mke/mume na siokukuruhusu wewe/wazazi/ukoo wako/mchungaji wako kukuchagulia mke. (a)Kusudi la uumbaji (kuwaunganisha). Sikiliza hakuna mtu aliyeumbwa kwa bahati mbaya, Mungu ndiyo aliyekuchagua nasiyo wewe uliyemchagua na akakuweka duniani ili umtumikie sasa yeye ndiyeanayejua nikimuunganisha huyu kaka na yule dada watalitumikia kusudilangu. Warumi 8:28-29. Mungu anapofanya maamuzi anafanya kwakuangalia kusudi lake na muda na wahusika wa hilo kusudi. Yeye ni Mungu naanafanya kwa utikufu jifunze kuruhusu mapenzi ya Mungu yatimie na si ya kwako.
tdjakes3.jpg
(b) Mungu ndiye ana-fahamu nani mwenyebusara ya kukaa na wewe. Mithali 19:14b Busara ni uwezo uliomo ndani ya mtu (mke/mume) unaomsaidiakujizuia kufanya jambo ambalo liko nje ya mpango/mapenzi ya Mungu kwa kufanyalile lilio katika mapenzi ya Mungu.Hivyo Mungu pekee ndiye anaye mjua mke/mumemwenye busara ya kukaa na wewe, kamwe wewe hutaweza mjua bila uongozi wa Mungu. (c) Sababu za ki-Agano. Zaburi: 32:8 Siku uliyofanya maamuzi ya kuokoka maana yake uliyakabidhimaisha yako kwa Yesu, ukamwambia nafungua moyo wangu uingie uyatawale nakuyaongoza maisha yangu sasa hilo ni Agano lako kwa Mungu. Kwa sababu hiyo Yesuanawajibika kwako kukufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea, hii ikiwa nipamoja na kukupa mke/mume wa kukufaa. (d)Mawazo yake, si mawazo yako. Isaya 55:8 Sikiliza Mungu anayo mawazo (mipango) na njia (mikakati) yakukufanikisha kimaisha. Sasa katika kutekeleza mipango yake kwako na kupitiawewe lazima atumie mikakati yake ili kutekeleza mawazo yake. Sasa moja yamikakati yake ni kukupa mke au mume wa kusudi lake . Sasa, sikatai huenda kwa jinsi ya mwili ni kweli huyo mtu anayekupa Mungu anaupungufu fulani. Huenda umbile lake, sura yake, kabila lake, rangi yake,dhehebu lake, haliko kama ulivyo kuwa unavyotaka wewe. Mungu anakupa mke au mume kutokana nasababu hizo ambazo nimekuekezea hapo juu na ninakuhakikishia ukimkubali atakupaneema ya kukaa naye huyo mtu na kukufanya uridhike naye na kumpenda huyomwenzako .
Nakutakia uongozi wa Mungu katika eneo lamaamuzi ya nani atakua mumeo au mkeo .
Na: Patrick Samson Sanga.

Mithali19: 14 "House and riches are the inheritance of his father apatao person, but a wife busaramtu is given by the Lord." Matumainiyangu is that u-grown young fellow, and you have a good spiritual development nakimwili. In this brief letter to the youth want to answer this question ambalovijana many have been wondering about. Others due to ignorance of the fact they make decisions that wakewamejikuta until today yajutia. Biblically, we know God's plan we would marry. Now the question comes, how should God Lord to show, give me a wife or husband of my life? For mimikijana its ability to look at someone and I ask God to mwishonikajichagulia yourself? Or simply a decision of who will be her husband / my wife is yanani?
sekeleti.jpg
This has invariably perform that many young likiwachanganya. Some believe God is giving me maamuzihayo wife / husband and others believe God is involved, but Such are the opportunities and involved. Now these are their thoughts and I will kikuyapinga but let nikuonyeshe what the Bible says then you will know the truth niupi: - Kwenyekitabu of Proverbs 19:14, God says the issue of houses, farms, shops navyote vifafanavyo and thus have given the ability to leave your parents, father & mother) the body to give you but a matter of wife or husband wise I only ndiyeninaye responsible for you. Listen, if you want a wife / husband for kulitumikiakusudi of God lokuumbia then you must you must make a knee to pray Having wait God show you / give you a wife / husband for the purpose . Young wengiwanafikiri simply because they are saved, and have jzwa Holy Spirit, then who-the ability of choosing a wife / husband to live with them. Listen, if you believe you umbwakwa purpose of God and you want to walk in his ways, then let Munguakupe wife / husband wise to stay with you. Mumeana wife or a large part in your life. Can he change your life, yakiroho, economic, physical, ministry and the rate wengine.Hivyokibiblia relationship with people whose decisions will be your wife or husband is a God and not your own. Hiiina you ask God for sure will deliver a real man to stay with you. Lakinimaamuzi of accepting or rejecting it for you, not God. If thou wilt shaurila litatumikiwa Lord, if you reject, you jikaribishia curse. Nisababu following basic zinazomfanya God akuchagulie / give you a wife / husband and I okukuruhusu you / parents / your family / your pastor kukuchagulia wife. (A) The purpose of creation (link). Listen, no one was created by accident, God is that He can not choose who you said you have chosen to put the world to serve him now if I merge this ndiyeanayejua brothers and the sisters are serving kusudilangu. Romans 8:28-29. God makes the decisions he made ​​kwakuangalia purpose and time and characters that purpose. He is God naanafanya utikufu learn to allow God's will is accomplished and not your own.
tdjakes3.jpg
(B) God is he who knew mwenyebusara stay with you. Proverbs 19:14 b wisdom is contained within the power of man (wife / husband) is omsaidiakujizuia do something that lies outside of the plan / will of God will kufanyalile emitted in Mungu.Hivyo Only God knows the wife / mumemwenye wise to stay with you , no you can not know without God's guidance. (c) Reasons for ki-Covenant. Psalms 32:8 The day you made ​​the decision to be saved means that your yakabidhimaisha to Jesus, and my heart said nafungua uyatawale nakuyaongoza enter my life now it is your covenant with God. Therefore Yesuanawajibika teach you and show you the way you will come to this if you nipamoja and wife / husband to customize. (D) His ideas, not your mind. Isaiah 55:8 Behold, God has thoughts (plans) and means (strategies) yakukufanikisha life. Now in its implementation and kupitiawewe you should use strategies to implement his ideas. Now it is one yamikakati give you a wife or husband of his purpose. Now, I may refuse to how the body is actually the person who gave you God's limitations. Perhaps his form, his shape, his tribe, his race, his religion, it is as you have do what you want. God gives you a wife or husband because of those that I indicate above and I can assure you he will accept kupaneema to stay with him and make him love her and please Thee are yomwenzako.
Child: God's guidance in the area lamaamuzi who will be your husband or wife.
By: Patrick Samson...

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

Google Translate
14 Januari, 2012
Mithali19: 14 "House and riches are the inheritance of his father apatao person, but a wife busaramtu is given by the Lord." Matumainiyangu is that u-grown young fellow, and you have a good spiritual development nakimwili. In this brief letter to the youth want to answer this question ambalovijana many have been wondering about....