Mgeni rasmi katika hafla hiyo Naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundistadi stadi Philip Mlugo Mh Mbunge wa jimbo la Lupa akizungumza kwenye hafla hiyo
Moses Kyando kushoto akifurahia jambo wakati wakimpokea mgeni rasmi kwenye gafla hiyo, anayefuatia ni dada Foster Ng'umba na kiongozi mwingine wa Makete platform ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja.
Mzee Dr Hassy Kitine akiwa amepozi kwa umakini akifuatilia hotuba ya mgeni rasmi ambaye hayupo pichani, pembeni ni Dada Gella Mahenge kiongozi wa Makete Platform
Wanahabari pia walikuwemo kuair out issues
Hawa ni miongoni wa wana makete waliojaliwa kuhudhulia hafla hiyo iliyofanyika Msasani Club