Injira

Ubusobanuro: English (en): User Content: WI0007AF01795BA000066336:content

« Inyuma   ·   Ahakurikira »
Base (Igiswayire) English
Mabalozi wakiangalia meza ambayo ilivunjwa wakati akiuawa kwa risasi Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume. (PICHA NA TAGIE MWAKAWAGO)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume, eneo la Kisiwandui, Zanzibar. (PICHA NA TAGIE MWAKAWAGO)



Kiongozi wa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini,Juma Mpango, akisoma dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume, mabalozi walipotembelea kaburi hilo mwanzoni mwa wiki.(PICHA NA TAGIE MWAKAWAGO)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini, pamoja na mtoto wa hayati Karume, Balozi Ali Karume (kulia waliokaa). Picha hiyo walipiga katika lango la kaburi la Karume, mjini Zanzibar.(PICHA NA TAGIE MWAKAWAGO)


Mnyama kiboko akiwa kwenye maji wakati mabalozi wakitembelea Hifadhi ya Ngorongoro,mkoani Arusha. (PICHA NA ASSAH MWAMBENE)
Ambassadors were looking table that was broken when he killed by shooting the first President of Zanzibar, the late Abeid Amani Karume. (PHOTOGRAPHS BY TAGIE MWAKAWAGO)

Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe, he laid wreath on the tomb of the first President of Zanzibar, the late Abeid Amani Karume, the area of ​​Kisiwandui, Zanzibar. (PHOTOGRAPHS BY TAGIE MWAKAWAGO)



Leader of the ambassadors who represent their countries in, week program, he read prayers at the grave of the first President of Zanzibar, the late Abeid Amani Karume, the ambassadors had visited the tomb early in the week. (PHOTO AND TAGIE MWAKAWAGO)

Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe (among those who stayed), as in the picture with some ambassadors who represent their country in the country, with the son of the late Karume, Ambassador Ali Karume (who lived right). Pictures that were cast in the gate of the tomb of Karume, Zanzibar town. (PHOTO AND TAGIE MWAKAWAGO)


Beast is a hippopotamus in the water when the ambassadors visiting Ngorongoro Conservation Area, Arusha Region. (PHOTOGRAPHS BY Assah MWAMBENE)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

Google Translate
15 Ugushyingo, 2011
(image) Ambassadors were looking table that was broken when he killed by shooting the first President of Zanzibar, the late Abeid Amani Karume. (PHOTOGRAPHS BY TAGIE MWAKAWAGO) – (image) Minister of Foreign Affairs and International...
Google Translate
15 Ugushyingo, 2011
(image) Ambassadors were looking table that was broken when he killed by shooting the first President of Zanzibar, the late Abeid Amani Karume. (PHOTOGRAPHS BY TAGIE MWAKAWAGO) – (image) Minister of Foreign Affairs and International...
Google Translate
11 Ukwakira, 2011
(image) Ambassadors were looking table that was broken when he killed by shooting the first President of Zanzibar, the late Abeid Amani Karume. (PHOTO BY TAGIE MWAKAWAGO) – (image) Minister of Foreign Affairs and International...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera