Envaya

Translations: English (en): User Content: WI000752255054B000066166:content

Base (Swahili) English

ZED.jpg
Dandy Krazy al maarufu kama ZED
LINK YA WIMBO HAPO JUU
na Danny Tweve  -Lusaka
Mwanamziki Dandy Krazy wa nchini Zambia Maarufu kama ZEDambaye hivi karibu wimbo wake wa Don’t kubeba(donch kubeba) ukimaanisha tunzasiri! Ameibuka akimtaka rais mpya Michael Sata ampe madaraka kwakuwa wimbo wakeulifanya kampeni zilizomwezesha kuingia madarakani.
Akizungumza katika moja ya taarifa za Televisheni ya nchinihumo ya Muvi, Kratzy amesema wimbo huo ambao ulitumika kama slogan ya chama chaPatriotic Front ulikuwa ujumbe mhimu katika mafanikio ya rais Sata baada yakutumika katika kipindi chote cha kampeni.
Mmoja wa wanaharakati nchini Zambia ambaye pia ni mwandishiwa habari Henry Kabwe, serikali ya Zambia imelichukulia jambo hilo kama kitucha kawaida, ingawa mwanamziki huyo bado ameendelea kusisitiza kuwa anategemeakudra za rais kumpa madaraka katika teuzi zake zinazoendelea.
ZED anatumia msemo huo ambao rais Satta alikuwa akisisitizawakati wa kampeni za kimya kimya kabla ya kutangaza nia yake ya kugombea uraiskwa mara ya kwanza baada ya kuacha kazi kwenye shirika la Reli la Uingereza .
Kutokana na madai hayo ya ZED wananchi wa Zambia wamekuwanyuma yake wakieleza kuwa mwanamziki huyo alijitoa moja kwamoja na kuonyeshawazi kutunga nyimbo za kumpamba Sata na kwamba hatua yake ya kudai ujira wamadaraka ni muhimu iungwe mkono
Staili ya wimbo huo inachezwa kama kiduku kwa mapajakutawanyika na baadaye kukutanishwa, imekuwa maarufu nchini Zambia na wimbo huoumekuwa ukipigwa  kwenye maduka ya kandana yale ya kawaida licha ya kampeni na uchaguzi kwisha.
Donch kubeba imemfanya ZED kuwa adui wa chama cha MMD ambachokilikuwa kimemsimamisha mgombea wake kwa mara ya pili Rupia Banda.
Kwa ujumla mali zilizokuwa zikimilikiwa na chama hichoambazo zilitokana na michango ya wananchi zimenyang’anywa na serikali ya sataikiwa ni pamoja na michango iliyokuwa ikichukuliwa kwenye masoko na ushurumwingine.


ZED.jpg
Dandy Krazy al known as Zed
HAZARDS ON THE SONG LINK
and Danny Tweve-Lusaka
Dandy Krazy's musician in Zambia size as ZEDambaye recently his song Do not bear (carry donch) tunzasiri you mean! Ameibuka asking him to give him the new president Michael Sata power because wakeulifanya campaign song zilizomwezesha into power.
Speaking in a television report nchinihumo the wasp, Kratzy has said that the song was used as a slogan chaPatriotic Front party was essential to the success of the mission president Sata after yakutumika throughout the campaign.
One of the activists who are Zambian news mwandishiwa Henry Kabwe, Zambia's government imelichukulia kitucha it as normal, though the musician he has still continued to insist that he give tegemeakudra presidential power in developing its nominations.
Zed uses the phrase, which he put presidential campaign sisitizawakati of silence before announcing his intention to contest uraiskwa the first time after leaving work on British Railways.
Due to the concerns of the citizens of Zambia Zed have kuwanyuma telling her that the musician gave one hundred and compose songs kumpamba kuonyeshawazi Sata and that its action is necessary to claim the reward wamadaraka iungwe hand
Style of song for mapajakutawanyika inachezwa as duiker and later kukutanishwa, has been popular in Zambia and the song is oumekuwa been beaten in stores kandana normal despite the election campaign already.
Donch imemfanya sized carry an enemy of the MMD candidate ambachokilikuwa kimemsimamisha his second Rupia Banda.
In general, property and association were zikimilikiwa hichoambazo came from donations of citizens and government zimenyang'anywa sataikiwa include donations that were taking place in markets and ushurumwingine.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
November 15, 2011
(image) Dandy Krazy al known as Zed ...
Google Translate
November 15, 2011
(image) Dandy Krazy al known as Zed ...
Google Translate
October 11, 2011
(image) Dandy Krazy al popular as Zed ...
This translation refers to an older version of the source text.