Fungua
TABORA PARALEGAL CENTRE

TABORA PARALEGAL CENTRE

MANSPAA YA TABORA, Tanzania

kuona jamii yenye kutenda haki na maendeleo endelevu

kuwezesha jamii yenye kujua haki zao na kushiriki katika shughuri za maendeleo

kufanya ushawishi na utetezi juu ya haki za binadamu hususani haki za wanawake na watoto

Mabadiliko Mapya
TABORA PARALEGAL CENTRE imeongeza Habari.
DIRA: TPC inataka kuona jamii yenye kutenda haki na yenye maendeleo endelevu. – DHAMIRA: Kuwesha jamii kujua haki zao, kupambana na vikwazo vya maendeleo na kushiriki – katika shughuli za maendeleo endelevu. – LENGO KUU: Kufanya ushawishi na utetezi juu ya haki za... Soma zaidi
27 Mei, 2012
TABORA PARALEGAL CENTRE imejiunga na Envaya.
25 Mei, 2012
Sekta
Sehemu
MANSPAA YA TABORA, Tabora, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu